Thursday, July 23, 2020

Kamanda Muroto azungumzia mauaji ya Mwenyekiti wa Bawacha

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema tukio la kuuawa kwa Mwenyekiti wa Bawacha kata ya Palanga, Asia Said, halihusiani na kisiasa.

Mwenyeti huyo anadaiwa kuchomwa na mshale na kufariki dunia.

Kamanda amesema kuwa mume wa marehemu alikuwa na ugomvi na mtuhumiwa aliyefanya mauaji hayo baada ya kuingiza mifugo kwenye shamba lake.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/23/kamanda-muroto-azungumzia-mauaji-ya-mwenyekiti-wa-bawacha/

No comments:

Post a Comment