Thursday, July 30, 2020

Sehemu mbili za kumpagawisha mwanaume unapokuwa naye kitandani

Habari ya muda huu msomaji wetu  nina kukaribisha katika ukurasa wetu wa mahusiano uweze kujifunza mambo mbalimbali.

Siku ya leo nina mada konki nataka ujifunzi sehemu mbili ambazo humsisimua mwanaume wako pindi mnapokuwa faragha.

Hakuna ambaye haelewi maana ya faragha basi kwa yule ambaye hajui tutumie neno mnapokuwa kitandani kwa ajili ya ule mchezo.

Mapenzi siku zote ni kufurahishana sasa kuna baadhi ya wanawake hawajui maeneo ambayo yanawapagawisha wanaume hili ni muhimu kulijua.

Sehemu ya kwanza ni kwenye kifua hili eneo ni muhimu kwani mfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni eneo nzima huwa na msisimko la kifuani.

Ukitumia ipasavyo eneo hilo la kifua jitahidi kutumia vidole vyako kupapasa taratibu kifua cha mpenzi wako pamoja na ulimi wako kwa kuchezesha taratibu kwenye kifua ili kuamsha hisia.

Mapenzi siku zote ni kuwa mtundu na wanaume wengi hupenda mwanamke kuwa mtundu katika mapenzi, hivyo ukimchezea vizuri kifuani atapata msisimko wa aina yake.

Sehemu ya pili ni kwenye Uume hili eneo huleta msisimko wa raha katika mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya kuanza ule mchezo mtamu.

Eneo hilo linaweza kutumiwa vizuri kwa mtindo wa kunyonya uume au kwa kuupapasa taratibu. Fahamu sehemu kubwa ya kushughulika nayo katika kuuchezea uume wa mpenzi wako kama una unyonya basi tembeza ulimi wako taratibu katika kichwa cha uume huku ukifanya kama unauvuta, vidole vyako vinafanya kazi ya kupapasa taratibu juu ya kichwa cha uume huku ukifanya kama unauvuta vuta kwa kutumia lips zako za mdomo.

Kama unatumia vidole vyako kuupapasa uume hakikissha unapapasa taratibu juu ya kichwa cha uume . Endapo ukifanya hivyo kwa kuzingatia maelekezo hayo utamfanya mwanaume kumuongezea midadi kwa kumsisimua kabla ya game kuanza.

Kichwa cha uume ni laini hivyo unapokuwa unanyonya lazima uulambe kwa taratibu na sio kwa vurugu ulaji koni una ujuzi wake dada upo hapo?

Hizo ndio sehemu muhimu zenye kuleta hamasa katika mapenzi kwa upande wa wanaume.

Ni muhimu ukazingatia kutumia muda mwingi kumuandaa mpenzi wako ili afike kwenye kiwango cha msisimko kabla ya game kuanza hapo kila mmoja atafurahia shoo.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/30/sehemu-mbili-za-kumpagawisha-mwanaume-unapokuwa-naye-kitandani/

No comments:

Post a Comment