Wednesday, July 29, 2020

Kikwete Afunguka Wema Aliofanyiwa na Rais Mkapa

Afande awataka Mkapa na Kikwete kutubu | East Africa TelevisionRais mstaaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete amesema hatosahau kitendo cha rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kumchagua kwenye baraza la mawaziri hawezi kulisahau kutokana na kushindana naye kwenye kinyanganyiro cha urais mwaka 1995 ndani ya Chama.

Rais Kikwete amesema hayo leo Julai 29, 2020 kwenye shughuli ya mazishai ya rais mkapa kijiji kwake Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara.

“Kabla ya uchaguzi Nilimfuata nikamiambia wewe ndiyo unafaaa kuwa Rais  na nilikubari kumuunga mkono na tuligombea pamoja na akanishinda kwa kuwa kura hazikutosha na alipokuwa Rais aliniteua kuwa waziri wa mambo ya nje wizara kubwa zaidi licha ya kushindana naye pengine kwa kipindi kile dawa ya mtu uliyeshindana naye ilikuwa ni kumtupa mbali asionekane lakini yeye hakufanya hivyo” amesema Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete



source http://www.bongoleo.com/2020/07/29/kikwete-afunguka-wema-aliofanyiwa-na-rais-mkapa/

No comments:

Post a Comment