Mwili wa Rais Msaafu Benjamin Mkapa unatarajiwa kusafirishwa kueleka kijini kwao Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara ikiwa tayari kwa mazishi baaada ya kumalizika kwa shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili huo ilifanyika jijini Dar es salaam kwenye uwanja wa Uhuru.
Mbali na kukamilika kwa maandalizi ya shughuli hiyo jijjini Dar es salaam maandalizi ya Kabuli analotarajiwa kuzikwa Mzee Mkapa hapo kesho yanaendela na tunakueleta baadhi ya picha za maendeleo ya ujenzi wa kabuli hilo huko kijijini Lupaso.
source http://www.bongoleo.com/2020/07/28/picha-ulipofikia-ujenzi-kabuli-analotarajiwa-kuzikwa-mzee-mkapa-lupaso/
No comments:
Post a Comment