Jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limethibitisha kumuachia kwa dhamana mshambuliaji wa klabu ya Yanga Bernard Morrison baada ya kushikilia kwa muda mchana wa leo.
Morrison ambaye alikamatwa leo kutoka na kuhisiwa vibaya na jeshi la polisi ameachiwa kutokana kutokutwa na kosa la kuendelea kushikiliwa na jeshi hilo.
Inaelezwa kuwa Morrison alifikishwa kituoni hapo kutoa maelezo baada ya kukosa maelewano na jeshi la polisi na alikuwa kwenye kituo cha polisi Oysterbay kwa muda kabla ya kuachiwa jioni hii.
source http://www.bongoleo.com/2020/07/30/morrison-mikononi-mwa-polisi/
No comments:
Post a Comment