Mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) Unatarajiwa kuchezwa siku ya jumapili Julai 2, 2020 kwenye uwanja wa Nelson Mandela mkoani Rukwa ikiwa ni fainali ya tano tangu kuzinduliwa upya kwa mshindano hayo yalidumu kwa miaka kadha.
Chama cha soka mkoani Rukwa kimetangaza vingilio vya mchezo huo ambao utazikutanisha Simba SC dhidi ya Namungo FC ambazo tayari zimeshawasili mkoni Rukwa kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajia kufunga rasmi msimu wa soka mwaka 2019/20.
Bei za tiketi kwenye uwanja na Nelson anddra unachukua watazamani 30,000 zitauzwa Tsh 10,000 kwa mzunguko na 30,000 kwa jukwaa kuu (VIP), Mechi hii inataraia kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni.
Aidha chama cha soka mkoa Rukwa kimsema kuwa mchezo huo utaingiza takribani watazamani 25,000 na kutokana na kuchukua tahadhari za ugonjwa wa Corona.
source http://www.bongoleo.com/2020/07/29/kuzona-simba-namungo-fainali-asfc-10000-tu/
No comments:
Post a Comment