Friday, July 24, 2020

Mkapa kuagwa siku tatu mfululizo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ataagwa kwa siku mfululizo kuanzia Julai 26 hadi 28, 2020.

Waziri Mkuu, Majaliwa amesema Rais Mstaafu Mkapa atazikwa siku ya Jumatano katika kijiji cha Lupaso mkaoni Mtwara.

Rais Mstaafu Mkapa amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa hospitali kwa ajili ya matibabu jijini Dar es Salaam.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/24/mkapa-kuagwa-siku-tatu-mfululizo/

No comments:

Post a Comment