Thursday, July 30, 2020

Wananchi Mtwara Wamzawadia JPM Jogoo, Achangia Ujenzi Wa Shule


Wananchi wa kijiji cha Samonga mkoani Mtwara wememkabithi Rais John Magufuli zawadi ya kuku baada ya kuchagua shiling Milioni 5  kwenye shuke ya msingi Somanga kijijini hapo.

Rais Magufuli yupo njiani akitokea mjini Mtwara kwenye shuguli ya mazishi ya Hayati rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa iliyofanyika hapo jana kijijini kwao Lupaso.

“Naichangia Shule ya Msingi Somanga TZS Milioni 5. OCD wa hapa hakikisha hizi fedha zinaenda benki na zinapelekwa katika hiyo shule, mkazitumie kweli nitakuja nifuatilie lakini TZS 100,000 ibaki kwa huyu mtoto” Amesema Rais Magufuli akiwa njiani.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/30/wananchi-mtwara-wamzawadia-jpm-jogoo-achangia-ujenzi-wa-shule/

No comments:

Post a Comment