Thursday, July 30, 2020

Je unazijua staili tatu zenye raha katika mapenzi

Habari ya muda huu msomaji wangu. Nakukaribisha katika safu hii ya mahusiano.

Leo nimekuja na staili tatu ambazo huongeza msisimuko na laza ya aina yake pindi unapokuwa kitandani na mpenzi wako.

Sio siri kwamba mapenzi yanahitaji ubunifu wa hali juu, moja ya ubunifu huo ni kwenye staili za kupeana maraha.

Staili ya kwanza inaitwa G – WHIZ.
Katika style hii ya kupeana raha na utamu,mwanamke alale chali kisha mwanaume apige magoti mbele yake, baada ya hapo mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume, unaweza kuweka mto chini ya makalio ya mwanamke ili awe more confortable.

Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana raha na utamu kuna faida mbili. Mtaenjoy kwa sababu mashine ya mwanaume na Uke wa mwanamke zote zinakuwa katika level sawa, hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri na uke wa mwanamke unajibana kidogo. Ikijibana inaongezeka kuwa tight na kufanya starehe ya tendo kuzidi kuwa tamu.
Pia mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke aki pump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri uke.

2: WHEEL BARROW..
Kwenye staili hii, mwanamke inama kama vile unataka kujiweka kwenye position ya Doggy, mwambie mwanaume aje nyuma yako, akiwa amesimama, akamate kiuno chako kisha akibebe/akinyanyue usawa wa mashine yako ( itakuwa vizuri akiingiza kabisa mashine yake ) ili uweze kupata balance ibane miguu yako chini ya makalio yake huku mikono yako ikiwa inakupa balance.
Faida ya staili hii ni kuwa inaruhusu mashine ya mwanaume iweze kupenya ndani zaidi na mwanaume atapata nafasi ya kuenjoy kuangalia mtikisiko wa makalio yako.

Unaweza kumpagawisha zaidi mumeo kwa kukata kiuno taratibu kulingana na jinsi unavyosikia raha.

3: LEAP FROG..
Hii ni Doggy staili iliyoboreshwa mwanamke akiwa kitandani, ainame halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake avilaze juu ya mto..baada ya hapo kuna haja ya kueleza mwanaume akae wapi?? Bila shaka tumeelewana.

Hii staili inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya mwanaume iweze kuingia ndani kadri apendavyo,na mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto ( kidogo anarelax huku anaenjoy raha na utamu ).



source http://www.bongoleo.com/2020/07/30/je-unazijua-staili-tatu-zenye-raha-katika-mapenzi/

No comments:

Post a Comment