Sunday, July 26, 2020

Watu watano wamefariki dunia na wengine 14 wamejeruliwa wakitokea kwenye harusi

Watu watano wamefariki na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari la abiria lililokuwa likitoka kwenye  ya harusi kugongwa na trekta.

Ajali hiyo imetokea Bahi mkoani Dodoma ambapo watu hao  walikuwa wakitokea kwenye sherehe ya harusi eneo la Makamba wilayani Manyoni mkoani Singida.

Taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo tutawajulisha baadaye.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/26/watu-watano-wamefariki-dunia-na-wengine-14-wamejeruliwa-wakitokea-kwenye-harusi/

No comments:

Post a Comment