Monday, July 27, 2020

Lissu awasili nchi huku akishangiliwa

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewasili nchi na kupokelewa na Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe akiwa na yeye anatembea kwa kutumia magongo alimpokea Lissu akiwa na Katibu Mkuu, John Mnyika nakuongoza naye kwa pamoja.

Lissu alipoonekana walimshangilia huku wengine wakiimba wimbo “Rais .. Rais.. Rais .. Rais .. Rais..

Kiongozi huyo ambaye alikuwa mbunge wa Singida Mashariki alishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana na kwende kutibiwa nje ya nchi kwa miaka mitatu.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/27/lissu-awasili-nchi-huku-akishangiliwa/

No comments:

Post a Comment