Wednesday, July 29, 2020

Heche: Mfumo wetu wa kutoa haki ni mbovu mtu anawekwa gerezani kwa kosa lenye dhamana

Aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche amesema mfumo wa kutoa haki ni mbovu.

Amesema badala ya kuwapa haki unadaidia kuminya haki watu hasa wapinzani wa serikali ya CCM.

“Inaumiza sana kwamba karibia mwezi Nusrat Hanje Katibu Mkuu Bavicha na Twaha Mwaipaya mwenezi Bavicha wako ndani kwa kosa lenye dhamana inauma sana,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa Twitter.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/29/heche-mfumo-wetu-wa-kutoa-haki-ni-mbovu-mtu-anawekwa-gerezani-kwa-kosa-lenye-dhamana/

No comments:

Post a Comment