Thursday, July 30, 2020

Zitto Amlipua JPM “Maendeleo Ni Haki Ya Kikatiba”


Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema maendeleo ya jimbo au eneo lolote nchini ki hali na hayapaswi kuwa ya kibaguzi wa chama anachotoka mbunge.

Zitti amesema hayo saa chache baada ya kauli ya Rais Magufuli kwa wakazi wa Kilwa juu ya ujenzi wa stendi kwenye jimbo lililokuwa linaongozwa na mbunge wa chama cha wananchi (CUF) Selemani Bungara.

“Wilaya ya Kilwa ambayo Mbunge wake ni Bwege ( Selemani Bungara) ndio inazalisha 60% ya Gesi inayozalisha Umeme 65% ya mahitaji yote nchini. Kilwa wanazalisha Korosho, Ufuta na mazao ya Samaki. Maendeleo ni  Haki bila kujali Mbunge anatoka Chama gani cha siasa” ameandika Zitto.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/30/zitto-amlipua-jpm-maendeleo-ni-haki-ya-kikatiba/

No comments:

Post a Comment