Friday, July 24, 2020

Mwili wa Rais Mstaafu Mkapa kuagwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa amesema mwili wa Rais Mstaafu Benjamin Mkpa utaagwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu Mkapa amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa amelazwa hospitali kwa ajili ya matibabu jijini.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo leo alipofika msiba na kwamba siku itatangazwa baada ya taratibu zote kukamilika.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/24/mwili-wa-rais-mstaafu-mkapa-kuagwa-uwanja-wa-taifa-jijini-dar-es-salaam/

No comments:

Post a Comment