Wednesday, July 29, 2020

Baba Mbaroni Kwa Kumbaka Mwanaye Hadi Kumpachika Mimba

Askofu mbaroni kwa utapeli wa mamilioni ya waumini – Dar24Mahakama moja mkoani Mtwara imefikisha kizimbani bwana Joshua Mhema kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa kike mwanafunzi wa kidato cha tatu kwenye shule moja ya sekondari mkoani humo.

Mwendesha mashtaka wa Serikali, Matrida Manja amesema mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo kwa nyakati tofauti mnamo mwezi Mei mwaka 2020 kitendo kilichomsabisha binti huyo kupata ujauzito.

Mshtakiwa ni mwananfuzni wa chuo kimoja cha udaktari kwenye wilaya ya Masasi na amekana mashataka hayo yanayoangukia kwenye sura ya 130 (1 na 2) ya adhabu ya mwenendo wa makosa namba 16 yalitofanyia marejeo mwaka 2016.

CHANZO: JamiiForums



source http://www.bongoleo.com/2020/07/29/baba-mbaroni-kwa-kumbaka-mwanaye-hadi-kumpachika-mimba/

No comments:

Post a Comment