
Jamaa huyu ambaye hakutambulika aliivamia afisi ya bosi akiwa na panga mkononi
Alidai kuwa bosi wake alikuwa hajamlipa kwa miezi sita
Janga la corona limekuwa tatizo kuu, umaskini ukidhihirika wazi na hivyo hasira za kila namna kujaa nyosoni.
Kando na wengi kukosa nafasi za ajira, wengine wamesalia miezi kadhaa bila malipo waajiri wakishindwa la kufanya.
Jamaa mmoja amezua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kufika katika afisi ya bosi wake akiwa mejihami kwa panga akitaka alipwe mshahara wake wa miezi mitano mara moja.
Katika video hiyo iliyosambaa kwenye mtandao wa twitter na Facebook Jumanne, Julai 21, jamaa huyo anaonekana akiingia kwenye afisi hiyo kabla kuanza kujibizana na bosi mwenye lahaja ya kihindi.
Lazima mshande ilipwe bana. pic.twitter.com/GGvxM0o7hi
— indukusy (@indukusy) July 21, 2020
“Umekuja na panga? Weka panga kando kwanza,
“Niweke panga chini kwa nini? Nakuambia kabla polisi aingie hapa nitakuwa nimekuua,’’ anasema kwenye video hiyo.
Baada ya kugndua kuwa bwana huyo ameshika mori tayari kumvamia, bosi huyo anasikika akiwaomba wafanyikazi wengine kumpa msaada.
“Mimi nataka mshahara yangu ya mwezi wa tatu, wa nne, wa tano, wa sita na wa saba,’’ bwana huyo anongezea kwa hasira.
Wanamitandao walitofautiana kuhusiana na hatua aliyoichukua bwana huyo, baadhi wakimuunga mkono huku wengine wakimshambulia vikali kwa kukiuka sheria.
Those saying there are better ways of resolving the issue, do you think that the guy just woke up with a panga after the first 24hrs of delay? The guy is counting 7months! Dont you think he must have tried those methods without success? Wear his shoes first!
— Ruiru Benard (@Ruiru_benard) July 21, 2020
Some employers are from hell! Why would you withhold someone's hard earned money and work has been done? Aaaakkhhh am disgusted! Halafu he has the audacity to record a video. Lipa pesa buana!
—
amj
(@LMamji) July 21, 2020
Jeridah knows the guy ain't after her, how many months were counted?He must be truly have reached his limit for him to resort to this
— HOOK (@omollo_o) July 21, 2020
Any person who without lawful excuse utters, or directly or indirectly causes any person to receive, a threat, whether in writing or not, to kill any person is guilty of a felony and is liable to imprisonment for ten years”.
The law is a donkey-— The Blood Pressure Champion
(@zablonorina1) July 21, 2020
I believe there are better ways to solve the issue.
I fell out with my Asian boss in 2012 but I don’t think wielding a panga would have sorted it.— Side show Bob (@bobmalenyaperu) July 21, 2020
source http://www.bongoleo.com/2020/07/21/jamaa-avamia-afisi-ya-bosi-kwa-panga-kudai-mshahara-wa-miezi-mitano-video/
amj
(@LMamji)
(@zablonorina1)
No comments:
Post a Comment