Wednesday, July 22, 2020

Baba yake Tunda amuambia Whozu hata mdai mahari kwa binti yake kama yupo tayari kutangaza nia

Baba mzazi wa Tunda, Saba Sita amempaka baraka mchumba wa binti yake Tunda kumuoa huku akimuambi hatamdai mahari.

Baba yake Tunda aliyasema hayo jana usiku wakati wa kusherehekea siku wa kuzaliwa kwa binki yake Tunda.

“Sina maana mbaya lakini nikuondolee wasiwasi si bora hata wewe mahari mimi nina nyumba nina magari sijui ndio wewe unataka kutangaza nia nasema kwa yoyote kwani wewe hutaki kuwa na baba mkwe kama mimi ofisa ofisa hivi?,” alihoji huku akimuangalia Whozu.

“Haya mambo yanapagwa na mwenyezi Mungu unaweza ukapata na yasiwe kama unavyotegemea lakini nimefurahi kukuona pia nimekuona kwenye Tv nimekuona ukiwa mdogo mdogo,”

“Pia Tunda ameshaniambia usiseme ameniambia nini basi nenda ukakae uwe huru tuu.. Najua Birthday ni kuzaliwa huwa inafuatiwa na mambo mengi,”



source http://www.bongoleo.com/2020/07/22/baba-yake-tunda-amuambia-whozu-hata-mdai-mahari-kwa-binti-yake-kama-yupo-tayari-kutangaza-nia/

No comments:

Post a Comment