Wednesday, July 22, 2020

Ali Kiba Afunguka Kuungana Na Harmonize

Harmonize's continues to hint at WCB exit, cools off hate on Ali Kiba!Mwanamuziki Ali Kiba amesema kuwa hana mpango wa kushirikiana na boss wa Label ya Konde Gang Harmonize kwa sasa mpaka labda kwenye mipango ya mbeleni.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum na kituo cha redio cha Clouds Fm leo Julai 22,2020 Ali Kiba amesema mipango hiyo kwa sasa haipo mpaka wakati mwingine.

“Mipango ya kushirikiana na Konde Gang sidhani kama kuna mikakati kwa sasa hivi labda kwa hapo mbeleni kwa sasa kwenye shuguli hii ya Homecoming hatudhani kama itafanyika” amesema mmenja wa Ali kiba alipouliza juu ya ushirikiano huo.

Ali Kiba anatarajia kufanya onyesho la kurejes nyumbani kwao kigoma mapema mwezi August ikiwa ni baad aya takribaini miaka 13 tangu alipofanya onyesho la kwanza kwenye mkoa huo uliojaliwa vipaj vingi vya wasanii.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/22/ali-kiba-afunguka-kuungana-na-harmonize/

No comments:

Post a Comment