Wednesday, July 22, 2020

Mashabiki 25 wa Klabu ya Yanga wamenusubika kufa baada ya kupata ajali

Mashabiki 25 wa Klabu ya Yanga waliokuwa wakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Morogoro kushuhudia mechi ya Klabu hiyo dhidi ya Mtibwa wamenusurika kifo baada ya kupata ajali.

Gari hilo aina ya Coaster lilipinduka eneo la Kingolwira nje kidogo ya manispaa ya Morogoro.

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kea wanachama na mashabiki wa Tawi la Kidali asilia Tandale waliopata ajali wakiwa njiani kuelekea

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/22/mashabiki-25-wa-klabu-ya-yanga-wamenusubika-kufa-baada-ya-kupata-ajali/

No comments:

Post a Comment