Friday, August 7, 2020

Watu wawili wamefariki katika ajali akiwemo diwani

Watu wawili akiwemo aliyekuwa diwani wa kata ya Ngwala mkoani Songwe wamefariki katika ajali.

Gari ndogo ya mizigo aina ya Toyota Pick-Up iliyodaiwa kusukumwa na lori la maji la majina kisha kutumbukia kwenye korongo la mto Saza.

Taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo tutakuletea baadaye..



source http://www.bongoleo.com/2020/08/07/watu-wawili-wamefariki-katika-ajali-akiwemo-diwani/

No comments:

Post a Comment