Monday, August 10, 2020

Sakata la Morrison Lafika Patamu Manara Anena


Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa kutulia wakitaka kujua hatma ya mchezaji wao mpya Bernard Morrison juu ya usajili wake.

Kupitia ujumbe alituma kwenye ukurasa wake wa Instagram Manara ameshangazwa na kitendo cha mashabiki wa Yanga kufurahi ingali kikao bado kinaendelea.

“Hv hii Taarabu inaendelea huko Utopoloni??

Kwa nn viongozi wa Uto wanapenda kuwafanya Mazuzu watu wao? Wanasimba niwaarifu kamati bado inaendelea na kikao na hakuna taarifa yoyote iliyotolewa hadi sasa,,,hao Mazuzu walikuwa na Zuzu mwenzao wanacheza Baikoko tu” ameandika Manara.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/10/sakata-la-morrison-lafika-patamu-manara-anena/

No comments:

Post a Comment