Aliyekuwa mfadhili wa klabu ya Simba, Azim Dewji amesema shrikisho la soka la nchini kumrejesha kwao mchezaji Berndard Morrison kwani kama akipelekwa kwani akipelekwa Simba au yanga anaweza kusumbua kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu alivyovionesha.
Akizungumza na kituo cha redio cha Efm, Azima amesema amesema kama akirushiswha yanga mchezaji huyi hatocheza na kama ataenda simba basi ataenda kuharibu wachezaji ambao wananidhamu ndani ya klabu hiyo.
“Akibaki Yanga hatachezeshwa, akienda Simba ni mchezaji ambaye hana nidhamu, ataharibu na wachezaji wengine. Me naona arudi kwao tubaki na wachezaji wetu wenye nidhamu. Tuko kwenye uchaguzi hatutaki hizi vurugu nyingine” amesema Dewji.
source http://www.bongoleo.com/2020/08/11/36432/
No comments:
Post a Comment