Wednesday, August 12, 2020

Mrema Ajitosa Ubunge Segerea

ImageMkurugenzi wa  mawasiliano, itifaki na mambo ya nje wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Mrema amejitokeza kugombea ubunge kwenye jimbo la Segerea kwa kuomba kuchgyliwa kupitia mchalato wa ndani wa chama hicho.

Katika ujumbe alituma kwenye ukurasa wake wa twiter Mrema amesema amekabithiwa  fomu ya kuomba kuteuliwa na kinachosubiriwa ni mchakato wa ndani ya chama kujua hatma yake juu ya kugombea ubunge kwenye jimbo hilo lilokuwa chini ya mbunge wa CCM, Bonnah Kamoli.

“Leo tarehe 12.08.2020 nimechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Segerea, Picha ni msimamizi msaidizi Jimbo la Segerea akinikabidhi fomu za uteuzi” amendika  John Mrema.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/12/mrema-ajitosa-ubunge-segerea/

No comments:

Post a Comment