Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi aina ya Costa katika eneo la Nanenane mkoani Morogoro.
Taratibu za kuwaokoa watu hao linaendelea.
Taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo tutawajulisha baadaye baada ya kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro.
#BREAKINGNEWS:Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi dogo (Costa) katika eneo la Nanenane mkoani Morogoro. pic.twitter.com/UOt888RK3G
— Radio One Stereo (@RadioOneStereo) August 17, 2020
source http://www.bongoleo.com/2020/08/17/baadhi-ya-watu-wamebanwa-ndani-ya-basi-baada-ya-kuangukiwa-na-lori/
No comments:
Post a Comment