Thursday, August 13, 2020

Lissu Awatahadhalisha Wagombea Upinzani

ImageMgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amewataka wanachama wa chama hicho waliojitokeza kugombea kwenye uchaguzi ujao kuhakikisha wanajaza fomu za tume ya uchaguz kwa usahihi bila kukosea ili wasije kuenguliwa kwenye kinyanganyilo.

Akizungumza leo Agosti 13, 2020 akiwa Bariadi mjini mkoani simiyo akitafuta wadhamini wa kumdahamni kw aajili ya kugombea urais kwenye uchaguzi ujao amesema ili chama tawala kitoke madarakani ni lazia wapinzani wajitokeze kugombea.

“Ili tuwaondoe madarakani inabidi tuwe na wagombea, sasa ili tuwe na wagombea lazima kwanza wagombea wetu wapate fomu za kugombea, na hizo fomu wazijaze vizuri, wasikosee” amesema Lissu.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/13/lissu-awatahadhalisha-wagombea-upinzani/

No comments:

Post a Comment