Tuesday, August 11, 2020

Nape: Kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwi kinachofuata ni majanga

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwi unatakiwa kufikiri mara mbili.

Nape aliandika ujumbe huo leo katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter ” Ni sawa na draft ukiona unaruhusiwa kula tu, kinachofuata inawea kuwa majanga,”.

Kiongoi huyo ambaye alishawahi kuwa Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  aliandika ujumbe huu “Kwenye siasa ukiona unapiga kelele hujibiwa fikiri mara mbili! Ni sawa na draft ukiona unaruhusiwa kula tu, kinachofuatia inaweza kuwa ni majanga,”.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/12/nape-kwenye-siasa-ukiona-unapiga-kelele-hujibiwi-kinachofuata-ni-majanga/

No comments:

Post a Comment