Wednesday, August 12, 2020

Mo amkaribisha Morrison Simba ampa maelekezo

Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, maarufu kwa jina la MO amemkaribisha mchezaji Bernard Morrison.

MO aliandika ujumbe huo katika ukuarsa wake wa twitter kuwa  wanaamini atakuwa sehemu ya kuendeleza na kukuza misingi waliyoiweka ya nidhamu.

“Karibu Simba, Bernard Morrison. Tunaamini utakuja kuwa sehemh ya kuendeleza na kukuza misingi tuliyojiwekea ya nidhamu, kujituma na kujali maslahi ya Klabu kwa ujumla,” aliandika Mo.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/12/mo-amkaribisha-morrison-simba-ampa-maelekezo/

No comments:

Post a Comment