Monday, August 10, 2020

Kinachojiri kwenye magazeti ya leo Agosti 11, 2020

Habari mdau wetu leo ni Jumanne ya Agosti 11, 2020 tunakukaribisha utazame kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za magazeti  ya nchini.

Kipengele hiki Muhimu katika kuhabarika na Opera News kinapatikana kila siku asubuhi.

Kwa ujumla yapo magazeti mbalimbali yaliyosheheni habari za kisiasa, burudani, michezo na  elimu.

Habari kubwa zilizosheheni kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo, karibu msomaji wetu ujisomee.

 

 

 

LIVE: MAMA SAMIA AWAVAA UWT “KWENYE KAMPENI MSIFANYE STAREHEE, FANYENI KAMPENI”

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/11/kinachojiri-kwenye-magazeti-ya-leo-agosti-11-2020/

No comments:

Post a Comment