Tuesday, August 11, 2020

Maalim Alakiwa na Mamia Pemba

ImageMgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamadi ameendelea na ziara yake ya visiwani humo baada ya kuchaguliwa na chama kugombea kwenye wadhifa huo wakati wa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.

Maalim Seif na baadhi ya viongizi wa juu wa chama hichi akiwemo kiogozi mkuu Zitto Kabwe, mgombea urais wa Tanzania bara na mshauri mkuu wa chama hicho Bernard Membe leo Agosti 11 wamepokelewa visiwani pemba baada ya kuwasili wakitokea Unguja jana.

Maalim Seif ambaye atagombea kwa mara ya saba urais visiswani humo amepoelewa na mamia ya wafuasi wa chama cha ACT-Wazalendo.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/11/maalim-alakiwa-na-mamia-pemba/

No comments:

Post a Comment