Habari mdau wetu leo ni ya Agosti Alhamisi 13, 2020 tunakukaribisha utazame kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za magazeti ya nchini.
Kipengele hiki Muhimu katika kuhabarika na Opera News kinapatikana kila siku asubuhi.
Kwa ujumla yapo magazeti mbalimbali yaliyosheheni habari za kisiasa, burudani, michezo na elimu.
Habari kubwa zilizosheheni kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo, karibu msomaji wetu ujisomee.
MWANANCHI MBELE YA ANDENGENYE “NINA BIFU NAE KABISA, NAOMBA UNILINDE, NILIONDOKA KWA AIBU SANA”
source http://www.bongoleo.com/2020/08/13/kinachojiri-kwenye-magazeti-ya-leo-agosti-13-2020/
No comments:
Post a Comment