Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema matukio ya kutekwa na kuwatesa wagombea ubunge wa chama hicho huko Ruangwa Lindi yanashamiri.
“Leo tena mgombea wetu katekwa na kuteswa sana, ” aliandika Zitto katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii.
Zitto ameliomba jeshi la polisi kuchukua hatua dhidi ya matukio hayo mabaya.
“Chama chetu kitatoa kauli asubuhi hii,” alieleza Zitto.
source http://www.bongoleo.com/2020/08/13/zitto-wagombea-wetu-wa-ubunge-wanatekwa-leo-katekwa-mwingine-kateswa-sana/
No comments:
Post a Comment