Sunday, August 16, 2020

Simba Washusha Mashine Ya Congo

Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa straika raia wa congo Chris Kopa Mugalu akitokea klabu ya Lusaka Dynamos ya lig kuu ya Zambia.

Mugalu ambaye amewasili nchini leo ametambulishwa rasmi Simba akiwa mchezaji wa saba kusajiliwa na Simba ambayo inajioanga kujipanga kupambana kwenye michano ya kimataifa.

Katika taarifa iliyotolewa na klabu kocha wa timu ya taifa ya Zambia, Milutin Sredojević amemsifia straika huyo aliyepachika magoli 9 kwenye michezo 18 iliyochezwa ya ligi hiyo, huku akiisaida timu yake ufika nafasi ya saba kwenye msimao wa lig kuu nchini humo.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/16/simba-washusha-mashine-ya-congo/

No comments:

Post a Comment