Tuesday, August 11, 2020

Fatma Karume : Bila upinzani hakuna demokrasia

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amesema walijulishwa ifikapo mwaka huu upinzani utakuwa umekufa Tanzania.

“Bila upinzani hakuna demokrasia alitaka kuuwa demokrasia yetu kwa uwoga wa kupingwa,” aliandika Fatma katika ukurasa wake wa twitter.

“Upinzani ina, Misiba, majeraha, kovu lakini ni hai. Demokrasia yetu ni hai tusimuachie kupora demokrasia yetu,” aliandika Fatma



source http://www.bongoleo.com/2020/08/11/fatma-karume-bila-upinzani-hakuna-demokrasia/

No comments:

Post a Comment