Saturday, August 15, 2020

Nape: Washindani wakituchokoza hatuwezi kuwachekea

Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema washindani wakiwachokoza hawawezi kuwaacha.

Nape aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter akimjibu Maria Sarungi.

“Umetumia maneno sahihi kabisa/ you have used exactly words and meaning. Siwezi kusema kuwa eti washindani wakituchokoza tutawachekea hapana nitakuwa mnafiki na hilo wanijua vyema siwezi,” aliandika Nape.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/15/nape-washindani-wakituchokoza-hatuwezi-kuwachekea/

No comments:

Post a Comment