Friday, August 28, 2020

Utata umati uliojitokeza uzinduzi kampeni CHADEMA

Utata mkubwa umeibuka juu ya picha zilizosambazwa  mitandaoni juu ya watu waliohudhuria ufunguzi wa kampeni za mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Ndugu Tundu Antipas Lissu siku ya jana kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem

Hii ni moja ya picha za juu iliyopingwa kwenye mkutano huo siku ya jana na kupostiwa katika mtandao wa Instagram kwenye akaunti maalumu ya TBC .

Watu mbalimbali walionekana kuwa na mtizamo tofauti na badhi yao wakidai kuwa picha hiyo ilipingwa wakati wa mchana pale ambapo mgombea urais wa chama hicho alikua hajapanda jukwaani na wengine wakidai kuwa ilikua jioni.

Hisia mbalimbali zimeibuka juu ya picha hizi na wengi wakiziangalia kama kupungua kwa ushawishi wa Chama hicho kikuu cha upinzani nchini na wengine wakiendelea kudai kuwa ni hujuma zilizofanywa na TBC kwakua walifukuzwa kwenye uzinduzi huo na Mwenyekiti wa chama hicho ndugu Mbowe

 

Hebu angalia hapa baadhi ya maoni mtandaoni

madalla.noelSasa TBC jaman wafanye nini?? Wakitangaza mnawasema na wasipotangaza mnawasema…kama mgombea wa Chadema ameshindwa kujaza uwanja sio kosa la TBC wao wametekeleza wajibu wao. Tena wamesaidia kusema umati….je wangeandika ukweli wa kinachoonekana hapo mngesema nini?? Kama hiv tu mshaanza kuwananga. Tuwe na staha kidogo. TBC fanyenyi kazi yenu kwa kujiamini hakuna wa kuwababaisha.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺtbc mmejua kunifurahisha, wakimwaga mboga tunamwaga ugali, UKWELI NA UHAKIKA.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒtbc vibaya hivyo..eti umati πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Wapo wengine ambao walikua na hisia tofauti wakidai kuwa hizo ni hujuma na kwamba picha hizo zilipingwa mchana kabisa kama huyu

@zamtaya hiyo dron ililushwa kuanzia saa6 mchna

Kutokana na utata huu imenilazima kufanya kautafiti kadogo  tabia za picha kwa kurejelea somo la Jiografia  kidato cha tano kwakua mimi nilisomo mchepuo wa sanaa nikuchukua mkondo wa HGL  na pia kwa kusomea Shahada ya kwanza ya uhandishi wa habari pale Mlimani na huku upigaji picha ukiwa miongoni mwa kozi nilzosoma.
Ukweli wa picha hii kimazingira imepingwa wakati wa jioni kwene mida ya saa 1o hadi saa 12 jioni kwa majira yetu. Sababu ni hii hapa
  1. Urefu wa kivuli, moja ya tabia ya picha iliyopingwa jioni wakati jua uelekea kuzama ni kuwa kivuli kinakua kirefu kwa kuwa jua linakua linapiga upande chini kabisa,


source http://www.bongoleo.com/2020/08/29/utata-umati-uliojitokeza-uzinduzi-kampeni-chadema/

No comments:

Post a Comment