Friday, August 14, 2020

Jeshi la polisi limesima halijamkamata aliyechoma moto ofisi ya Chadema

 

Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limesema  mpaka sasa hivi halijamkamata mtu yeyote aliyehusika na tukio la kuchomwa moto ofisi za Chadema Kanda ya Kaskazini.

Ofisi hiyo ilichomwa moto usiku wa kuamkia leo na kuteketea baadhi ya  vitu ambapo umbapo bado uchunguzi unaendelea.

Habari za awali imedaiwa kuwa ofisi hiyo ililipuliwa kwa petroli na kuwaka moto.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/14/jeshi-la-polisi-limesima-halijamkamata-aliyechoma-moto-ofisi-ya-chadema/

No comments:

Post a Comment