Friday, August 14, 2020

Mkutano wa Lissu umevamiwa na kushambuliwa

Msafara wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, umeshambuliwa.

“Msafara wa mgombea urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya Chadema Hai magari yameharibiwa,” aliandika Godbless Lema.

Alisema mgombea urais na timu yake wako salama.

Lema alisema polisi wapo lakini wana shuhudia na mkutano umevunjika



source http://www.bongoleo.com/2020/08/14/mkutano-wa-lissu-umevamiwa-na-kushambuliwa/

No comments:

Post a Comment