Sunday, August 9, 2020

Makosa ambayo wanayafanya wanawake ni kuwaogopa wapenzi wao

Habari ya muda huu msomaji wangu karibu katika ukurasa wetu wa mahusiani.

Wanawake huwa na tabia ya kuwaogopa wapenzi wao jambo ambalo sio nzuri na hakitakiwi katika mapenzi.

Iwe ni mumeo ama ni mpenzi wako hupaswi kumuogopa unatakiwa kumfanya mwenza wako kama rafiki yako na kumheshimu. Bila kufanya hivyo utakuwa katika wakati mgumu kwenye mahusiano.

Hata ukipiga naye story mchukulie kama rafiki yako, lazima kuwepo na utani, kuchekeshana unapokuwa unamuogopa utakuwa hauna tofauti na mfungwa katika mahusiano.

Hivi unaanzaje kwa mfano unayelala naye uchi unamuogopa utasema unaingizwa kituo cha polisi acheni hayo mambo maana huwezi kufurahia mapenzi maishani mwako.

Kuna wengine wanaume zao wakisikia geti limegongwa wanakimbizana ndani ya nyumba. Sasa hapo unaisha na mume au simba. Wapo wanawake wanaogopa hata kupiga story na wanaume zao wakiwaona kama wameona mahabusu.

Hivi na wewe mwanaume kwani uwe kama simba ndani ya nyumba. Hapana mnakosea bwana mapenzi ni kupendana sio kuogopana.

Navuta picha kama mnaogopana kiasi hicho vipi kwenye ile shughuli ya kutiana inakuwaje ina maana hata kama hujaridhika huwezi kusema unakaa kimya kimya. Hata uandaji wake sidhani kama unakuwepo hapa ni mwanaume kuchomoa mashine yake na kuichomeka ha ha ha nacheka utazani ni mazuri.

Wapo wanawake ambao hawaridhishwi kutokana na ukali wa mwanaume na kuamua kukaa kimya na kuchukulia ndivyo mapenzi yalivyo hapo unakoseka mwisho wa siku jambo hilo litakuathiri kisaikolojia na kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

Kwanini ukubali kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa sababu ya ukali wa mwanaume asikuambie mtu ule mchezo wa faraga ni mtamu bwana hasa kwa wapendanao mnaweza kujikuta siku nzima kazi ni moja tu ya kufika kileleni.

Mwanamke mwenzangu usiwe mtumwa katika mahusiano kuwa muwazi kwa mwenza wako jiachie kuwa free naye mueleze kile unachojisikia kwa wakati huo kama una hamu unamuambia leo nahitaji pipi yangu ya kijiti mapema usichelewe. Kwa wale wanaowagopa wapenzi wao sijui kama anaweza kumuambia leo nina nyege nakuhitaji mapema.

Mfanye mwenza wako kama rafiki yako utaenjoy maisha yako ukionyesha kumuogopa huwezi kufurahia mahusiano yako. Mwanaume anapogundua unamuogopa atakunyanyasa katika maisha yako jambo la msingi ni kumheshimu usimuogope.

Unapomuogopa hata kwenye mapenzi utakuwa unafanya bila kufurahia kutokana na uoga uliojiwekea hata asipokufikisha kileleni unaogopa kusema. Mimi sikubali kuachwa njiani mchezo mpaka nifike hata kama ni mara tatu sijafika namuambia na game litaanza upya sasa mwenzangu mume anaingia getini mnakimbizana huko kitandania inakuwaje?

Jiachia mwanamke mwenzangu hasa unapokuwa na mpenzi wako kuwa muwazi kwake kwa kila jambo acha uoga muambie ukali wake auache ofisini kwake asiulete nyumbani.

Muambie mimi nahitaji mahaba na kupendwa stress za kazini kwake asije kukuumiza na wewe. Kilichokupeleka kwa mwanaume ni mahaba na kupewa pipi ya kijiti.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/09/makosa-ambayo-wanayafanya-wanawake-ni-kuwaogopa-wapenzi-wao/

No comments:

Post a Comment