Saturday, August 8, 2020

RASMI: Bernard Morrison Atambulishwa Simba

Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya klabu ya Yanga na mchezaji wake Bernad Morrison raia wa Ghana hatimaye leo kiungo huyo ametambuliswa rasmi kwa watani wao wa jadi Simba SC ikiwa bado kuna kesi ya kimkataba baina ya Morrison na Yanga

Hapo awali iliezwa kuwa Morrison ni mali ya Yanga na amesiani kandarasi ya miaka miwili na klabu hiyo kabla ya kugoma kushiriki mazoezi ya timu hiyo ikiwa kwenye hatua za mwisho za kujinda na michezo ya kumalizia ligi.

Simba imemtambulisha Morrison ikiwa ni baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu juu ya usajili wa mchezaji huyo alishindwa kufikia makubaliano na Yanga.

View this post on Instagram

MORRISON IS RED 🔴 #NguvuMoja

A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania) on



source http://www.bongoleo.com/2020/08/08/rasmi-bernard-morrison-atambulishwa-simba/

No comments:

Post a Comment