Monday, August 10, 2020

Radio Free Afrika Waitwa TCRA Kujieleza Kisa Lissu

TCRA steps up efforts to fight cybercrimeMamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) imeitaka kituo cha redio cha Radio Free Afrika kujieleza kwa nini isichukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka kanuni za huduma na utangazaji nchini kwa kurusha kipindi kilichoeleza cha mgombea urais wa chama cha CHADEMA Tundu Lissu kuzuiliwa kumuaga hayati Benjamin Mkapa.

Katika taarifa iliyotolewa leo Agosti 10, 2020 kituo hicho cha redio mnamo Julai 29, 2020 majira ya saa 12;00 asubuhi mpaka saa 12;30 kituo hicho kilirutuhumiwa kukiuka kanuni za maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha amka na BBC.

 

  



source http://www.bongoleo.com/2020/08/10/radio-free-afrika-waitwa-tcra-kujieleza-kisa-lissu/

No comments:

Post a Comment