Sunday, August 9, 2020

Naibu Chifu Afumaniwa Wazi Akimla Mwanafunzi Msituni, Uhondo Kamili

Police arrest father, son for objectionable post on PM ...

Wawili hao walipatikana msituni wakilambishana asali

Habari kuhusu kisa hicho zilienea kijijini na naibu chifu huyo akaitwa kwenye mkutano na mjomba wa msichana huyo

Katika mkutano huo, msichana huyo alikiri kuhusika katika tendo la ndoa na chifu huyo

Alikana madai hayo katika mahojiano na kituo cha runinga cha NTV baadaye

Wanakijiji walimsuta vikali chifu huyo kwa kitendo hicho

Machifu na manaibu wao wana jukumu muhimu katika kudumisha Amani, utiifu na maadili mema katika jamii, lakini katika kijiji cha Petangua KIiifi, mambo ni tofauti kabisa.

Wanakijiji hao sasa wamepoteza kabisa imani na naibu chifu wao baada ya kunaswa msituni akifanya tendo la ndoa na mwanafunzi.

Shock as nine school girls are found pregnant: The Standard

Alikana madai hayo katika mahojiano na kituo cha runinga cha NTV baadaye. Picha:Hisani

Katika kisa hicho kilichofanyika Jumapili, Agosti 9, inadaiwa kuwa naibu chifu huyo aliyetambulika kama Gilbert Kithi alinaswa na mwendesha boda boda, Karani Kavula.

Kulingana na Karani, alishangaa kuona eneo moja la msitu huo uliko kando ya barabara ukitikika, kabla kumuona naibu chifu huyo.

Alilazimika kuiegesha pikipiki yake kuchunglia vizuri kilichukuwa kikifayika, alipokaribia, alimpata chifu huyo akiwa na mwanafunzi ambaye alikuwa anamjua.

Alikwenda upesi kwa mjomba wa mtoto huyo na kumpasha habari pasi kutaka habari hiyo kujulikana kwa wanakijii wote.

Hata hivyo mjomba huyo aliandaa mkutano na wazee wengine kuhusu kisa hicho, mtoto huyo akikiri kuhusika katika tendo la ndoa na Naibu chifu huyo.

Licha ya kumaliza mkutano huo na kuahidi kutorudia jamb hilo, wanakijiji waliojawa hasira kutokana na tabia ya chifu huyo walichukua hatua na kupiga ripoti kwa polisi.

Akihojiwa na runinga ya NTV kuhusu kisa hicho, msichana huyo alikana kuhusika katika kitendo hicho licha ya mjomba wake kuonyesha kuhusu mkutano na naibu chifu na kuhusu walivyokiri.

DCC Bw. Richard Karana amethibitisha kuanza uchunguzi kuhusu kisa hicho na kuahidi kumchukulia hatua naibu chifu huyo.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/10/naibu-chifu-afumaniwa-wazi-akimla-mwanafunzi-msituni-uhondo-kamili/

No comments:

Post a Comment