Tuesday, August 4, 2020

Lissu Apitishwa Asilimia 100% Na Mkutano Mkuu CHADEMA

Shangwe zatawala mkutano mkuu Chadema – MwanaHALISI OnlineMakamu mwenyekiti kitu wa chama cha Demoyns na Maendeleo  (CHADEMA) Tundu Lissu amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho kuwania uraisi kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Lissu ambaye amepitishwa bila kupingwa na wajumbe hai ataipeperusha ya CHADEMA kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.

Lissu amemteua aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho, Salum Mwalim kuwa mgombea mwenza kwenye nafasi hiyo ya juu zaidi kisaisa nchini, Pia chama hicho kimempitisha Said Issa Mohamed kuwa mgombea wa urais kw auoande wa Zanzibar.

Wagombea wanajianda kwenda kuchukua fomu wenye tume ya uchagauzi zoezi lilifunguliwa rasmi leo na vyama vyote vya siasa vitatakiwa kufanya hivyo ili kushiriki uchaguzi mkuu.



source http://www.bongoleo.com/2020/08/05/lissu-apitishwa-asilimia-100-na-mkutano-mkuu-chadema/

No comments:

Post a Comment