Sunday, August 9, 2020

BREAKING NEWS: Kigogo Simba SC Atangaza Kujiuzulu

FARPost_ZA on Twitter: "IN TANZANIA In case you missed it, ex ...Mkurugenzi mtendaji wa  Simba, Senzo Mbatha ametangaza kujuzulu nafasi hiyo ikiwa ni baada ya kudumu na klabu hiyo kwa takribani mwaka mmoja.

Senzo ametangaza uamuzi huo leo na kushukuru uongozi wa klabu hiyo kwa kumpa nafasi ya kufanya kazi na klabuni hapo kwa mafaanikio kwani kwenye kipindi cha mwaka mmoja alichodumu Simba amefanikiwa kuingoza klabu hiyo kushinda ligi Kuu bara,ngao ya hisani na kombe la FA.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/08/09/breaking-news-kigogo-simba-sc-atangaza-kujiuzulu/

No comments:

Post a Comment