Saturday, July 18, 2020

Zitto: Jeshi la polisi na mwendesha mashtaka wa serikali mwachieni huru Nusrat

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amelitaka jeshi la polisi na mwendesha Mashtaka wa Serikali kumuachia huru Nusrat na wenzake.

Nusrat ambaye ni kiongozi wa Bavicha wapi gerezani siku ya nane kwa tuhuma za kuimba wimbo wa taifa huku wakipandisha bendera ya taifa.

Zitto amesema ukandamizaji wa aina hiyo inaiweka nchi sehemu mbaya.

Kiongozi huyo alianfika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa “Acheni vijana hawa wafanye shughuli zao za kisiasa kikatiba,”



source http://www.bongoleo.com/2020/07/18/zitto-jeshi-la-polisi-na-mwendesha-mashtaka-wa-serikali-mwachieni-huru-nusrat/

No comments:

Post a Comment