Saturday, July 11, 2020

Watu watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala katika ajali, Mbunge ajeruhiliwa

Watu watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mwalimu Boniface Maiga, baada ya kupata ajali ya gari.

Ajali hiyo imesababisha majeraha kwa wengine akiwemo mbunge wa Handeni, Omary Abdallah Kigoda ambaye yupo hospitali akiendelea na matibabu.

Ajali ya gari la Mbunge Omary iliotokea mudamfupo chamwino baada yakugonganana na basi la Tata.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma,  Gilles Muruto amethibitisha kutokea tukio hilo.

 

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/11/watatu-watatu-wamefariki-dunia-akiwemo-katibu-tawala-katika-ajali-mbunge-ajeruhiliwa/

No comments:

Post a Comment