Tuesday, July 14, 2020

Wagombea 29 wa CCM wajitosa jimbo la Mvomero, majina haya hapa

Wagombea 29 wamechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Kati ya waliojitokeza in wanaume 25 na wanawake ni wanne.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu katibu wa CCM wilaya mvomero, Daniel Agustino amesema watu wamejitokeza kuchukua fomu hali hiyo imeonyesha kuwepo kwa demokrasia ndani ya chama.

Waliojitokeza ni ;

1.Mwalimu Mussa Ally
2.Hamisi  Sengulo
3.Julius  Gontako
4.Mzee Ali Mwinshehe
5.Mariamu Kambi
6.Sisty E Mkoba
7.Georgina Roeser
8.Albert P Matemba
9.Senorina Muumbi
10.Moris Momba

11.Lydia  Kabuta Kazwala

12.Melkiades Telesphory
13.Brig. Jenerali Emmanuel Maganga
14.Salvatory  Libery
15.Emilian Selestin Chibinda
16.Alfred Cosmas Matotola
17.Christian Tobias
18.Kudura Mohamed
19.Paul  Mkhumbi
20.Clarence  Nyanga
21.Stanislaus Charles Kobelo
22.Samanya Ramadhani Mangachi
23.Nestoria Kabula Mtenga
24.Dr Alex Fortunatus
25.Mr Fadhiri Saning’o
26.Tumain Ibrahim Mwalupwepe
27.Mch. Osward Herman Mlay
28.Ibrahim  Nguya



source http://www.bongoleo.com/2020/07/14/wagombea-29-wa-ccm-wajitosa-jimbo-la-mvomero-majina-haya-hapa/

No comments:

Post a Comment