Monday, July 20, 2020

Tuzo Za Ballon d’Or 2020 Zasitishwa

Welcome to FIFA.com News - How the FIFA Ballon d'Or trophy is made ...Waandaji wa tuzo za Ballon d’Or wametangaza kusitisha zoezi la ugawaji wa tuzo hizo mwaka huu kutokana na mapumziko marefu kwenye mchezo wa soka yaliyosabaishwa  na mlipuko wa ugonjwa wa Corona duniani kote.

Tuzo hizo ambazo hutolewa kila mwaka kwa msakata kabumbu bora dunia kutoka ligi mbalimbali imesimamishwa kutoka na kutokuwa na mazingira sahihi ya maamuzi kutoka na likizo ya lazima ya ligi sehemu mbalimbali dunia.

Umauzi huo uliotangaza mapema leo julai 20, 2020 umaaanisha mshindi wa tuzo hiyo mwaka jana 2019, Lionel Messi ataendelea kuitunza tuzo hiyo kwa kipindi cha mwaka moja zaidi mpaka mwaka 2021 ambako atarejesha kwa ajilia ya kupewa mtu mshindi mwingine.

Kwa kipindi cha muongo mmoja sasa tuzo hiyo ilikuwa ikigombaniwaniwa na maasimu wawili wa soka Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wakiwa wachezaji walichukua tuzo hiyo mara nyingi zaidi tangu kuanzishwa kwakae mapema mwaka 1956.



source http://www.bongoleo.com/2020/07/20/tuzo-za-ballon-dor-2020-za-sitishwa/

No comments:

Post a Comment