Thursday, July 16, 2020

Rais Magufuli: Kwenye hizi kazi kuridhika ni kitu kikubwa sana

Rais John Magufuli  amewataka viongozi kuridhika na kazi wanazopewa.

“Kwenye hizi kazi kuridhika ni kitu kikubwa sana, yule kijana ale anaitwa Selemani ni PHD holder lakini mshahara ni laki tano lakini aliridhika na mshahara wake,” alisema

Aliongezea “Ilipojitokeza fursa ndiyo tukamteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa,”.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/16/rais-magufuli-kwenye-hizi-kazi-kuridhika-ni-kitu-kikubwa-sana/

No comments:

Post a Comment