Monday, July 20, 2020

Mwanri Aangukia Pua Kura Za Maoni Siha

MWANGAZA WA FIKRA: CCM YAFUNIKA KIGOMA

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa awali wa kuchagua wagombea wa ubunge kwenye jimbo la Siha mkoani kilimanajaro baada ya zoezi la kupiga kura kwenye ngazi ya wilaya.

Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel ameongoza kura za maoni kwa kupata kura 148 akifuatiwa na mkuu wa mkoa huyo wa zamani wa Tabora, Agrey Mwanry kura 147 huku nafasi ya tatu ikishikwa na Tumsifu Kweka kura 53.

Zoezi hilo kwenye jimbo la Siha limekwisha kamilika na kinachosubiriwa kwa sasa ni vikao vya kamati za siasa za wilaya kuoendekeza majina yatakyo kwenda kwenye kamati ya wilaya ya mkoa kabla ya kamati ya wilaya taifa kuchagua jina moja.

 



source http://www.bongoleo.com/2020/07/20/mwanri-aangukia-pua-kura-za-maoni-siha/

No comments:

Post a Comment