Tuesday, July 14, 2020

Membe Afunguka Kinachomsukuma Kugombea Urais

Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation: Waziri ...Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Benard Membe amesema ameamua kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha urais kwenye uchaguzi ujao kwakua wapo mamia ya watu waliomtumia ujumbe wa kumtaka agombe nafasi hiyo.

Akizungumza kwenye mahojiano maalum na mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu amesema kitendo hicho kinaendelea kumfanya ajione anatosha kwenye kiti hicho.

“Kuna watu wengi sana wananitunia ujumbe kila siku wakiniomba nigombee urais na ukitaka naweza kukutumia hata meseji za watu waoniambia ninafaa kuwa rais nina maelfu ya meseji za watu waonitaka mpaka naogopa” amesema Membe.

Ikumbukwe kuwa Membe ameendelza nianyakebya kugombea urais kwenye uchaguzi ujao licha ykufukuzwa uwanachama ndani ya chama chake cha zamani (CCM).



source http://www.bongoleo.com/2020/07/14/membe-afunguka-kinachomsukuma-kugombea-urais/

No comments:

Post a Comment